Semina ya Neno la Mungu TAG Moshi ikiongozwa na Apostle Onesmo Ndegi wa Kanisa la Living Water Worship
Centre, Katika Semina hiyo ya Siku 5 Apostle Onesmo Ndegi alikuwa akifundisha kuhusu kutembea katika Maisha ya Rohoni,Mwenyeji alikuwa
ni Bishop Emmanueli Lazaro wa Kanisa la TAG Moshi.
Siku zilikuwa za baraka sana kwa wale
walioudhulio udhulia semina hiyo,maana walichokuwa wakifundishwa
walikuwa wanakifanyia kazi na kuona matokeo yake.
Mwaka 2012 miezi michache iliyopita Living Water
Centre waliandaa semina ya Neno la Mungu Mnenaji alikuwa ni Bishop Emmanueli Lazaro wa Kanisa la TAG Moshi,Semina hiyo ilikuwa ya Baraka sana kwa watu wengi walioudhulia semina hiyo.Baada ya hapo
Bishop Emmanueli Lazaro alibarikiwa na Moyo wa
Apostle Onesmo Ndegi jinsi kwa jinsi anavyo fundisha Neno la Mungu,Baada ya hapo
Bishop Emmanueli Lazaro alimwandalia Apostle Ndegi semina Moshi kwa makusudi ya kusikiliza Neno kwa kijana wake.
Kama inavyofahamika kuwa Apostle Onesmo Ndegi
amepata Kibali ndani ya moyo wa Bishop Emmanuel Lazaro wa Kanisa la TAG Moshi, Lazaro ambaye ni Askofu wa Kwanza
wa Kanisa la Tanzania Assemblies Of God.
|
Apostle Onesmo Ndegi akisistiza jambo wakati wa
semina hiyo
Mnamo 26/06/2012 katika Kanisa la
Living Water Center Kawe kutakuwa Kongamano la Udhihilisho wa
Utukufu wa Mungu ambalo litajumuisha
baadhi ya watumishi kutoka Tanzania na nje ya Tanzania Bishop Emmanueli Lazaro
ni mmoja wa wanenaji katika Kongamano hilo.Watumishi Wengine watakao
hudumu ni pamoja na Bishoop Dr Bernard
Nwaka-Zambia,Apostle Dr Simpson Ngizela - South Africa na Bishop Emmanuel
Tumwidike- Mbeya -Tanzania.. |
|
|
|
Baadhi ya waumini wa Kanisa la TAG Moshi kwa Bishop Emmanueli Lazaro wakifuatilia mafundisho kwa makini |
|
Wanakwaya kanisani hapo wakimwabudu Mungu katika Semina hiyo |
|
Kwa Sehemu ndani ya Kanisa umati wa waumini wa Moshi walioudhulia Semina hiyo ya Apostle Onesmo Ndegi katika kanisa la TAG |
|
Maombezi na kufunguliwa pia ilikuwa ni sehemu ya Semina hiyo kama inavyoonekana |
|
Baba na mwana Apostle Ndegi na Askofu Emmanueli Lazaro |
|
Apostle
Ndegi, wa pili kulia ni Mchungaji Alex wa Kanisa Living Water Center
Moshi,wa tatu ni aliyewahi kujitambulisha kuwa ni kijana Bishop
Lazaro,anaye fuatia ni Victor Ishengoma na mwisho ni Mr Rugambage ujumbe
aliokuwa ameambatana na kutoka Living Water
Centre Dar es salaam |
No comments:
Post a Comment