Watu wajitokeza kuhudhilia walijitokeza kwa Wingi
Katika Tamasha la Muziki wa Injili la KuSupport Mwanamuziki wa
Muziki wa Injili John Shaban lililofanyika Jioni Ya Leo Katika Kanisa la
TAG Magomeni.
John Shaban, Stella Joel na Mhe. Mgeni Rasmi Mhe. Waziri
Tamasha
hilo lililosukumizwa pia na Wanamuziki Wakongwe kama Cosmas Chidumule,
Makasy, John Komanya, Nelly, Stara Thomas, Upendo Kilahiro, Victor Aron
na baadhi ya Kwaya Kutoka Jiji la Dar-es-Salaam.
Shughuli
nzima ya hiyo ilikuwa ikiongozwa na. Mgeni Rasmi wa siku ya leo ni Mhe. Waziri wa
Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dr. Fenella Mukangara.
Tamasha hilo lililokuwa maalum kwa ajili ya Kusifu na Kuabudu na Maombi kwa ajili ya Taifa Letu la Tanzania.
Mwanamziki wa Injili John Shabaani |
Bishop John Komanya , Upendo Kilahiro na John Shabaani awakiimba
|
John Shaban, Stella Joel na Mhe. Mgeni Rasmi Mhe. Waziri
Mchungaji wa Kanisa la TAG Magomeni Pastor Kanemba akiwa na Mkewe siku ya Leo Kwenye Tamasha.
Mwanamuziki wa Injili Stara Thomas alikuwepo kuhudumu Katika Tamasha hilo
No comments:
Post a Comment