VHM (Voice Of Hope Ministry) yatambua mchango wa Living Water Centre Kawe
VHM
(Voice Of Hope Ministry) imesema inatambua mchango wa huduma Living Water Centre kawe katika kufanikisha huduma zake vijijini ambako Injili
imefika kwa kiasi kidogo,maneno hayo yalisemwa na Kiongozi wa huduma hiyo Mch.Peter
Mitimingi.
Timu nzima hiyo ya VHM ikiongozwa na Mch.Peter
Mitimingi walikuwepo kanisani Living Water Centre Kawe jumapili iliyopita kutoa shukrani zao jinsi ya Living Water Center
livyowahi kuwawezesha kifedha katika safari zao za kuhudumu vijijini ambako Injili
imefika wa kiwango kidogo sana pengine haijafika.
Ibada hiyo iliongozwa na Kiongozi wa huduma hiyo Mch.Peter
Mitimingi.
VHM (Voice Of Hope
Ministry) ni
huduma inayofanya kazi ya kuhudumu Injili vijijini maneo ambayo yametelekezwa
au Injili imefika wa kiwango kidogo sana,Kwa muda
wa miaka 6 iliyopita VHM wamekuwa wakihubiri Injili katika ukanda wa Pwani upande
ambao Jamii ya kiislam inakaa wa wingi.
VHM Wamesema
wamekuwa wakimwona Mungu katika huduma yao akifanya kazi ya kuwakomboa maelfu watu
wagonjwa na nguvu za giza pia akushuhudia waganga wa kienyeji na wachawi wengi
wakisalimisha silaha zao na maisha yao kwa Yesu.
Sambamba
na Injili huduma ya VHM imekuwa ikijihusisha na kutoa huduma za afya kwa jamii
huko vijijini bure ikiwa ni sehemu ya huduma yao pale wanapokutana na watu
wenye uhutaji wa matibabu kiafya maana si wote wanao jiweza kwenda
kulipia gharama hospitali
1.VHM
kabla ya kwenda ufanya huduma huwa inatuma watu kwenda kufaya utafiti katika
vijiji husika vitakavyokuja kufanyiwa huduma wanachobaini huwa uchawi na
ushirikinana ngome za ibilisi katika kuwaonea watu.
2.VHM
hatua ya pili huwa wanatuma wana maombi kikosi kazi ili kuangamiza nguvu zote za
giza na mapepo
3.VHM
wanatuma timu ya Kufanya uinjilisti nyumba kwa nyumba kwa ajili ya maandalizi
ya mkutano wa nje
4.Baada
ya hayo wanafanya mkutano wa injili ili kuwahubiria watu injili ya Yesu Kristo
iletayo wokovu na kuwafundisha mafundisho ya awali ya kuukulia wokovu.
Huduma
ya VHM chini ya tumishi wa Mungu Mch.Mitimingi mafanikio ambayo waeyapata mpaka
sasa ni watu wengi weokoka na kumpa Bwana Yesu maisha yao,Mabadiliko katika
jamii zilizohudumiwa,Umoja wa Makanisa umeimalika,Watu wengi hata wapagani
weuona upendo wa Yesu kwa uhalisia kupitia huduma ya VHM hasa hasa katika
huduma za kijamii matibabu ya afya za wale wanao umwa pia uwagawia watu wenye kuhitaji
vitu kama nguo na chakula
Huduma
ya VHM inayomikakati mbalimbali ya kuzunguka mikoa yote
ya Tanzania kupeleka Injili vijijini maeneo ambayo yaetelekezwa au Injili
imefika wa kiwango kidogo sana
Kwasasa
wanatarajia upeleka Injili ikoa ya Iringa,Njombe,Mbeya,Sumbawanga,Katavi,Kigoma,Kigoma,Tabora,SingidaMorogoro,Lindi
na Pwani
Huduma
ya VHM inaomba kujumuika a wewe katika huduma anayofanya kwa kweda nao kwa hali
na mali ilikufanikisha na kuvuruga kazi za bilisi na nguvu za giza na kusimamisha
Nguvu na utawala wa Yesu Kristo huko vijijini ambako maeneo ambayo yaetelekezwa
au Injili imefika wa kiwango kidogo.
Ofisi za
VHM ziko mwenge zmetazamana na Hospitali ya Mama Ngoma
Mawasilano:
+255713183939 +25568866662 +255767563939
Kwa
sadaka yako kusapoti huduma hii Tigo
Pesa 0713183939 Airtel money
068866662 Mpesa 0767563939
TBN to Air Celebration of Life Special for Late Founder Paul Crouch; No Public Memorial Service
Trinity Broadcasting Network is set to air a TV special to honor the life of its co-founder, Dr. Paul Crouch, who died on Saturday, but there will be no public memorial service, as per his wishes.
"TBN will broadcast a special celebration of Dr. Paul Crouch's life and legacy Sunday, December 8th, at 7 p.m. and 11 p.m. (Pacific) and Monday, December 9th, at 2 p.m. (Pacific)," a TBN announced on Monday.
Crouch was 79 when he died on Saturday, following a decade-long battle with degenerative heart disease. He was born in 1934 in St. Joseph, Mo., the son of Assemblies of God missionaries, and earned a degree in theology from Central Bible Institute and Seminary in Springfield, Mo., and an honorary Doctor of Laws degree from Oral Roberts University in Tulsa, Okla.
He founded TBN, the world's largest Christian-owned cable station, with his wife, Janice Bethany Crouch, whom he met in 1957 and later married. Together, they have two sons: Paul Crouch Jr. and Matthew Crouch.
A number of notable leaders in the Christian community have sent their condolences to TBN and Crouch's family, some of which were shared by TBN.
"Everyone at the Billy Graham Evangelistic Association extend our condolences to the family of Paul Crouch, Sr., who, along with his wife, Jan, founded the Trinity Broadcast Network in 1973.... He and the TBN family have been longtime friends and supporters of the Billy Graham Evangelistic Association and Samaritan's Purse," BGEA said.
"Paul Crouch was a giant amongst men whose trail blazed television ministry for the 21st century. His brilliant faith and business acumen brought Christ to many who wouldn't have been otherwise exposed. His legacy lives on through his family, TBN partners everywhere, and the many people that he gave an opportunity. I am numbered amongst those beneficiaries," said Bishop T.D. Jakes.
In recent years, however, the Crouch family and TBN have been embroiled in a number of lawsuits. Their granddaughter, Brittany Koper, former director of finance and human resources, legally accused the Crouch family and TBN of illegally using tens of millions of dollars from the non-profit to support their luxurious lifestyle that includes jets, estates, and vehicles. Koper's uncle, Joseph McVeigh, also filed a lawsuit against TBN in 2012, saying the broadcaster was maliciously targeting him as part of a "campaign of retaliation."
A representative for TBN was unable to provide the source with further details about the upcoming TV special at the time of press.

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro:Viongozi wa Dini na Serikali simamieni sheria
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama, amewaomba viongozi wa dini na wa serikali wasimamie sheria za nchi katika maeneo yao kwa lengo la kudhibiti mauaji dhidi ya wanawake.
Gama aliyasema hayo jana mjini hapa na kufafanua kuwa kama viongozi hao watasimamia sheria na kuhakikisha zinatekelezwa, matukio hayo yatupungua.
“Hayo yote yanasababishwa na watu kunywa pombe wakati wa kazi, vijana kuvuta bangi na kutofanya kazi, usipokuwa busy (shughuli) lazima ujikute unafanya matukio ya ajabu,” alisema Gama.

![]() |
| Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama |
Hata hivyo. Gama alisema wakati umefika kila mtu kujua kuwa kila mmoja ana wajibu wa kulinda amani ya nchi badala ya kuliacha jukumu hilo kwa watu wachache.
“Kama vijana hawatafanya kazi, watakuwa wanafanya matukio ya ajabu kama hayo ya kuua wake zao na wapenzi wao kwa sababu ya wivu. Utakuta mwanamke anajishughulisha na anachelewa kurudi nyumbani kwa kuwa anakuwa anatafuta fedha ya kulisha familia,” alisema na kuongeza:
“Baba alitakiwwa amsaidie, lakini anashindwa kufanya hivyo kutokana na kulewa muda wote na kumwachia mke wake mzigo.”
Alisema madhara yanayotokana na kulewa wakati wa kazi ni makubwa na kwamba matukio ya wanaume kuwaua wake zao yanasababisha kupotea kwa nguvu kazi ambayo ingesaidia kuinua uchumi wa nchi.
Nesi wa Hospitali ya Mabwepande ambaye aliomba jina lake lisitajwe, alisema baadhi ya wanaume wanachukia wanawake kudai kuwapo usawa kati yao.
Matukio ya wanaume kuua wake zao kwa wivu wa mapenzi mkoani Kilimanjaro yamekuwa yakiongezeka kwa kasi.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, Iddi Juma, alisema wakati umefika kwa viongozi wa dini kuhubiri amani kwa nguvu zao zote.

CHANZO: NIPASHE
Subscribe to:
Posts (Atom)