Mwimbaji wa muziki wa injili Solomon Mahlangu kutoka nchini Afrka Kusini akiimba jukwaani kwenye uwanja wa Taifa katika tamasha kubwa la Krismas lililofanyika jijini Dar es salaam likishirikisha waimbaji wengi kutoka nchi mbalimbali za afrika wakiwemo waimbaji wa Tanzania.Waimbaji wa mwimbaji Solly Mahlangu wakiimba jukwaani Mashabiki wakicheza staili ya saluti na mwimbaji Solly MahlanguHakuna aliyekuwa amekalia kiti chake wakati mwimbaji huyo akiwa jukwaani akifanya vitu vyake.Hapa ilikuwa kila mmoja akinyanyua kitambaa chake juujuu ili mradi burudani tu.Mgeni rasmi Waziri wa nchi katika ofisi ya waziri mkuu Uratibu wa Sera na Bunge Mh. William Lukuvi akizungumza katika tamasha hilo na kuwashukuru waimbaji wa muziki wa injili kwa kuendelea kuhubiri amani nchini lakini pia akawahakikishia kwamba serikali kitahakikisha amani iliyopo inadumu, kulia ni mkurugenzi wa Msama Promotion Alex Msama na katikati ni Ezekiel Maige Mbunge wa jimbo la Msalala jijini Dar es salaam.Mwimbaji Ephraim Sekereti akiwa na Living Waters akitumbuiza kwenye uwanja wa Taifa wakati wa tamasha la Krismas linaloandaliwa na kampuni ya Msama Promotion ya jijini Dar es salaam Mwimbaji Rose Muhando akiimba na kucheza kwa hisia mbele ya mashabiki wakeGrolius Worship Team wakiimba jukwaani.Mwimbaji Upendo KirahiroMwimbaji wa muziki wa injili Boni Mwaiteje Boni Mwaiteje akionyesha uwezo wa kucheza na masteji shoo wake
Living Waters Kutoka makuti Kawe wakiwakilisha |
No comments:
Post a Comment