Ulikuwa ni usiku wa aina yake ulioohusisha wanafunzi wa waliokoka wa ngazi ya vyuo vikuu wa Jijini Dar es salaam, unaofanyika kila mwaka baada ya uongozi mpya kuingia madarakani ,Mkesha huo ulifanyika katika Kanisa la AIC Magomeni usiku wa Ijumaa.
Usiku huo ulipambwa na TAFES Praise Team,Winners Chapel Worship Team na Living Waters kutoka Living Water Centre Kawe,madhumuni ni kukesha katika kumsifu na kumwabudu Mungu pia kupata muda wa kusikiliza Neno kutoka kwa mtumishi anayealikwa usiku huo.
Mtumishi aliyehudumu katika Upande wa Neno alikuwa ni Apostle Samuel Sasali na mkesha huo kuhudhuliwa na wanafunzi wanachama wa Tafes Dar es salaam kutoka UDSM,IFM,KIU,CHUO KIKUU ARIDHI,KAHIRUKI,MUHIMBILI,DIT,ST.JOSEPH,IMTU.
|
TAFES Praise Team |
|
Ilikuwa Fullshangwe |
|
Living Waters Worship Team vijana wa Apostle Ndegi walikuwepo kuhudumu |
|
Winners Chapel Worship Team |
|
Katikati ni Peter Anase alikuwepo pia kama mjumbe msaafu wa Tafes |
|
Papaa The Blogger alikuwepo kama mjumbe msaafu wa Tafes pembeni yake ni Mwenyekiti wa TAFES Taifa na Mkoa Lukas Godfrey |
|
Kitu cha sebene kwenda mbele |
|
Mwenyekiti wa TAFES Taifa na Mkoa pia Lukas Godfrey kutoka cha DIT |
|
Viongozi wa TAFES Mkoa kutoka vyuo mbalimbali wakijitambulisha |
|
Apostle Samuel Sasali alihudumu pande wa Neno |
No comments:
Post a Comment