Nape Moses Nnauye aaswa kumtanguliza Mungu



Kiongozi wa Kanisa la Living Water Centre Apostle Onesmo Ndegi alimuasa Nape Nnauye Katibu Mwenezi wa Itikadi wa Chama Cha Mapindizi (CCM) hivi karibuni Kanisani kawe kiongozi huyo alipohudhulia Ibada kuambiwa kumtanguliza Mungu Katika Shughuli zake za Kisiasa.

Nape ambaye ameokoka alitakiwa kuonekana tofauti na Viongozi wengine katika kufanya maamuzi hadi mambo wanayofanya huko katika chama Chao alisema Apostle Ndegi.

Baada ya Ibada Apostle Ndegi na wachungaji wengine kanisani hapo walipata kumuombea Nape ili Mungu ahusike naye katika shughuli za Kichama atakapo kuwa.







No comments:

Post a Comment