Kijitonyama Evangelical Choir kuzindua Album Jmapili hii Siku ya Jumapili

Siku ya Jumapili hii katika kanisa la KKKT Usharika Kijitoyama, Kwaya ya Kijitonyama Uinjilisti inategemea kuzindua Album yake siku ya Jumapili tarehe 13/10/2013 kuanzia saa 7 mchana mpaka saa 12 jioni

Mgeni rasmi atakuwa ni Makamu Askofu Dr Fupena na wegeni wengine,Album itauzwa kwa gharama ya Tsh 5000 tu,Waimbaji kama Upendo Nkone,Miriam Mauki,Modest Morgan,AIC Chang'ombe Vinaja Kwaya watakuwepo kuhudumu siku hiyo.

Unaambiwa siku hiyo kitu Live tu,Kama CD kasikilize nyumbani! 

Hakuna Kiingilio.

Mwenyekiti wa Kwaya ya Kijitonyama Uinjilistiakizungumza na waandishi wa habari kuhusu uzindizi huo siku ya jumapili
Viongozi wa kwaya ya Kijitonyama Uinjilisti walipozungumza na waandishi wa habari siku ya jana.
Kwaya ya Kijitonyama Uinjilisti kijitonyama wakifanya majaribio mbele ya waandishi wa habari kuashiria wako tayari kwa tukio
Blogger Sasali wa alikuwepo kikazi zaidi
Blogger Nice alikuwepo pia
Modest Morgan zee wa Simba wa Yuda atakuwepo kuhudumu  

No comments:

Post a Comment