Uko Hapa Live Recording Album CCC Upanga maandalizi yakamilika.


Stage kama inavyoonekana na mchanganyiko wa taa za rangi 
Baadhi ya wanamziki walio katika team mzima ya John Lisu 
 John Lisu (The Worshipper) akiwa busy na simu pia na wanamziki watakahusika kesho wakati wakifanya set up jioni ya leo
Audio Mixer itakayotumika katika Event hiyo
Stage ikifanyiwa madikodiko kwa ajili ya kesho


Lights Mixer 
Video Mixers na System nzima itakayotumika kesho katika Video Recording
Viti kwa ndani ya ukumbi kama vinavyoonekana

No comments:

Post a Comment