Ungana na Ask.Dk. Mtokambali kutembelea Maeneo matakatifu ya Israeli

Askofu Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Dk. Barnabas Mtokambali
Askofu Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Dk. Barnabas Mtokambali, ataongozana na kundi la Maaskofu, Wachungaji pamoja na Wakristo kutoka sehemu mbalimbali nchini Tanzania, kwenda Israel  kutembelea  na kushuhudia kwa macho maeneo matakatifu yaliyoainishwa kwenye Bibilia. Safari Septemba  23, Mwaka huu 2013.

Iwapo unapenda kuambatana nao  tafadhali jiandikishe mapema, kwani nafasi zimebaki chache na wenye kiu ya safari hii ya kihistoria ni wengi .

NANURI SAFARI COMPANY LIMITED ndiyo itaratibisha safari hiyo.Gharama ya safari ni Dola  za Marekani 2700  zikibeba gharama zote za safari ambazo ni:-(1)    Usafiri wa ndege kwenda na kurudi (2)    Chakula(3)    Malazi(4)    Viza(5)   Malipo ya kuingilia maeneo tutakayotembelea (entrance fees)
(6)Usafiri wa gari tutakalotumia huko Israel.
Tuma fedha katika: NANURI SAFARI COMPANY LIMITED
NMB – ILALA BRANCH
ACCOUNT NO: 2036600111
DAR ES SALAAM.
Ukiwa na swali lolote usisite kutuuliza kwa namba zifuatazo:
0715 – 640 777; 0782 – 640 777; 0716 – 316 109
au Fika katika Ofisi zetu zilizopo Mwalimu House ghorofa ya 6, Ilala Boma, jijini Dar es Salaam.

KUMBUKA NAFASI NI CHACHE SANA WAHI SASA.

No comments:

Post a Comment