Semina ya Neno la Mungu na Askofu Emmanueli Lazaro


Askofu Emmanuel Lazaro aliyekuwa Askofu Mkuu wa kwanza wa Tanzania Assemblies Of God kwa zaidi ya miaka 26 anaedelea na semina ya Neno la Mungu katika Kanisa la TAG  Ubungo ilipo makao makuu ya Kanisa la TAG Semina hiyo imekuwa ikiendelea mpaka sasa na kuhitimihswa kesho kanisani hapo.

Semina hiyo iliyoanza siku ya jumatano tarehe 8 mpaka siku ya kesho tarehe 12.Watu wote wagonjwa na wenye shida mbalimbali wanaombewa.

Watu Wote Mnakaribishwa katika Semina hiyo inayoendelea leo kuanzia Saa 10 Kanisani hapo mpaka siku ya Jumapili, Njoo uone Udhihirisho wa Nguvu za Mungu Kupitia Neno lake.


Askofu Emmanuel Lazaro aliyekuwa Askofu Mkuu wa kwanza wa Tanzania Assemblies Of God
 

No comments:

Post a Comment