Picha za Viongozi wa Dini walipotembelea Bomba jipya la gesi Mtwara-Dar.


Ujumbe wa Viongozi wa dini wakiangalia mojawapo ya visima vya nchi kavu vya kusafisha gesi katika eneo la Mnazi Bay, Mtwara.
Mafundi wa Kampuni ya China Petroleum Pipline (CPP) wakiendelea na kazi ya kuunganisha mambomba ya gesi  katika kambi ya Madangwa.
Meneja Mradi wa Bomba la gesi kutoka Da r es Salaam hadi Mtwara Mhandisi Kapuulya Musomba akiwaeleza viongozi kwa  hatua mbalimbali zilizofikiwa katika utekelezaji wa Mradi huo. Katikati ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Ngosi Mwihava.  Source:Fullshangweblog     

No comments:

Post a Comment