Kanisa la TAG lazindua Sherehe za miaka 75 ya Jubilee (Matukio katika Picha)

Kuzinduliwa kwa sherehe za Jubilee ya miaka 75 ya Kanisa la Tanzania Assemblies of God  zilizofanyika Mkoani Mbeya siku ya Jumamosi wiki iliyopita na kuhudhuliwa na watumishi wa Mungu mbalimbali wakiwepo Askofu Mkuu wa Kanisa hilo Dr Barnabas Mtokambali,Makamu Askofu Mkuu wa TAG Rev Dr Magnus Mhiche,Katibu Mkuu wa TAG, Rev. Ron Swai na kaimu Askofu Mkuu Msaidizi wa kanisa la EAGT Mch.Mwaisabila sherehe hizo za Miaka 75 ya TAG zinategemewa kufikia kilele chache mwezi wa saba waka huu 2014.

Katika Siku hiyo kulitanguliwa kuzinduliwa kwa Jengo jipya la Kanisa la Shillo huko Mbalizi ambalo inaaminiwa kuwa Kanisa la kwanza la TAG mkoani mbeya, Askofu  Mkuu wa TAG .Dr Barnabas Mtokambali ndiye aliye zindua jengo hilo na kuweka jiwe la Msingi.

Mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Mkoa Mbeya Abbas Kandoro aliyewakilishwa na Mkuu wa Wilaya mbeya vijijini.Pia sherehe hizo ziliudhiliwa na Wamissionary wa TAG kutoka Marekani kuhudhulia tukio hilo.

Askofu Mkuu wa Kanisa hilo Dr Barnabas Mtokambali

Katibu Mkuu wa TAG, Rev. Ron Swai akiwa na Makamu Askofu Mkuu wa TAG
Rev Dr Magnus Mhiche
Tukio hilo liliudhuliwa na Wamissionary wa TAG kutoka Marekani kuhudhulia

Wamissionary wa TAG kutoka Marekaniwaliohudhulia tukio hilo



 Rev. Dr. Huruma Nkone Mchungaji kiongozi wa VCCT alikuwepo  pia
Watumishi wa Mungu mbalimbali waliohudhulia sherehe hiyo

umati wa watu waliohudhulia shughuli hiyo


Kwaya iliyokuwepo kuhudumu katika tukio hilo
Askofu Mkuu Dr Barnabas Mtokambali akiweka jiwe la msingi kuzindua jengo jipya la Kanisa la Shillo huko Mbalizi ambalo inaaminiwa kuwa Kanisa la kwanza la TAG mkoani mbeya
jiwe la msingi
Askofu Mkuu Dr Barnabas Mtokambali akikata utepe kuashiria kufungua jengo jipya la Kanisa la Shillo huko Mbalizi ambalo inaaminiwa kuwa Kanisa la kwanza la TAG mkoani mbeya
Usalama ulikuwepo wa kutosha



No comments:

Post a Comment