Kongamano la Vijana Word Alive Matukio Katika Picha.



Mchungaji Kongozi  wa Kanisa la Word Alive Sinza na Mlezi wa Christian Bloggers Pastor Deo Labalaa
Pastor Daniel Msokwa akifundisha katika Ibada ya asubuhi siku ya pili ya Kongamano hilo
Pastor Isaac Mallonga akizungumza na vijana katika kongamano hilo na kuhitimisha siku ya jana.

Vijana walijitokeza kwa wingi kuhudhulia Kongamano hilo na kuondoka na hatua nyingine zaidi katika maisha yao kiroho.

Watumishi wa Mugu waliokuwepo siku ya jana katika Kongamano hiloPastor Rose Mushi,Pastor Calos na Pastor Deo Lubala
Praise and Worship Pastor Delicia akiwa na Door Keepers kutoka Tehillah


Door Keepers kutoka Tehillah


Damian kwa stage akihudumu katika kongamano hilo
Mbeya Family walikuwepo kuwakilisha siku ya jana


Wadau walipata muda wa kujiachia kwaito kwa sana
Word Alive Praise and Worship Team wakihudumu wakiongozwa na Mage


Ilikuwa ni fullshangwe kwa wadau waliokuwepo

No comments:

Post a Comment