Word Alive Sinza Kongamano la Vijana.

Word Alive Sinza,Kanisa linaloongozwa na mtumishi wa Mungu Pastor Deo Lubala lililoko Sinza Dar es salaam, limeandaa kongamano la vijana na watu wote kwa siku mbili.Kongamano hilo litafanyika Jumamosi na Jumapili tarehe 6-7/10/2012 kuanzia 2:00 asubuhi hadi saa 12:00 jioni.

Kongamano hilo la vijana linaloitwa “CALL TO HIGHER DIMENSION”. team mbalimbali za kusifu na kuabudu zitahudumu zikiongozwa na Word Alive Praise Team, Pastor Delicia with Tehillah Worship Team,Mbeya Family, Damian & Jaela na wengine.

Watumishi watakao hudumu katika Kongamano hilo ni Mwenyeji Pastor Deo Lubala,Pastor Rose Mushi,Pastor Isaack Mallonga,Pastor Daniel Musokwa,Lilian Modesta Mahiga and Pastor Ramsey Ngwelleja.Karibu sana ukue kiroho kama kijana,Barikiwa!

 Baadhi ya watumishi watakao hudumu katika Kongamano hilo.

Mwenyeji Pastor Deo Lubala

Pastor Rose Mushi
Pastor Daniel Musokwa
 Pastor Isaack Mallonga,


No comments:

Post a Comment