Mazishi ya Cardinal Rugambwa Mjini Bukoba katika kanisa kuu Bukoba Cathedral.


Mwonekano wa nje wa Kanisa Kuu Bukoba cathedral ambamo mwili wa Cardinal Rugambwa umezikwa siku ya Jumamosi


Mwonekano wa Kanisa kwa ndani Bukoba cathedral.
Mwili wa marehemu Cardinal Rugambwa ulipokuwa ukiwasili Bukoba mjini kutokea katika Kanisa la Kashozi Bukoba vijijini, ulipokuwa umewekwa mwili wa Marehemu Rugambwa kwa miaka kadhaa akisubiri kukamilika kwa Kanisa jipya Bukoba Cathedral.

Mwili wa Cardinal Rugambwa ukiwa umebebwa na vijana kuelekea Kanisani kwa Ibada ya Mazishi katika kanisa la Bukoba Cathedral



Mwili wa Cardinal Rugambwa ukiingizwa Kanisani huko viongzi mbalimbali kutoka pande zote za Afrika na Dunia kuudhulia mazishi hayo.
Baadhi ya viongozi wa Romani Catholic wakiwa katika ibada ya kumzika Cardinal Rugambwa siku ya Jumamosi katika Kanisa jipya Bukoba Cathedral.


Mwili wa Cardinal Rugambwa ukiingizwa katika Kaburi ambalo liko ndani ya Kanisa hilo.

Kaburi la Marehemu Cardinal Rugambwa

No comments:

Post a Comment